Surat Al-Inshiqaq, aya 19

84:19

لَتَرۡكَبُنَّ طَبَقًا عَن طَبَقٖ ١٩

Latarkabunna tabaqan 'an tabaq

Lazima mtapanda t'abaka kwa t'abaka! 19

Maelezo ya chini

19 Hapana shaka yoyote mtakutana na hali baada ya hali, baadhi yake zina shida zaidi kuliko nyenginezo, za kufa na kufufuliwa na vitisho vya Kiyama.