Surat Al-Insan, aya 4

76:4

إِنَّآ أَعۡتَدۡنَا لِلۡكَٰفِرِينَ سَلَٰسِلَاْ وَأَغۡلَٰلٗا وَسَعِيرًا ٤

Innā a'tadnā lil-kāfirīna salāsila wa aghlālan wasa'īrā

Hakika HaSisi tumewaandalia makafiri minyororo na pingu na Moto mkali. 4

Maelezo ya chini

4 Hakika Sisi tumewawekea tayari makafiri minyororo kuwafungia miguu yao, pingu za kuwafungia mikono na shingo, na moto unao waka.