Surat Al-Insan, aya 5

76:5

إِنَّ ٱلۡأَبۡرَارَ يَشۡرَبُونَ مِن كَأۡسٖ كَانَ مِزَاجُهَا كَافُورًا ٥

Innal-abrāra yashrabūna min ka sin kāna mizājuhā kāfūrā

Hakika watu wema watakunywa katika vinywaji vilivyo changanyika na kafuri! 5

Maelezo ya chini

5 Hakika walio kuwa wakweli katika Imani yao watakunywa mvinyo iliyo changanywa na maji ya kafuri.