إِنَّا هَدَيۡنَٰهُ ٱلسَّبِيلَ إِمَّا شَاكِرٗا وَإِمَّا كَفُورًا ٣
Innā hadaynāhus-sabīla immā shākiran wa immā kafūrā
Hakika Sisi tumembainishia Njia. Ama ni mwenye kushukuru, au mwenye kukufuru. 3
Maelezo ya chini
3 Hakika Sisi tumembainishia Njia ya Uwongofu, ama awe Muumini au awe kafiri.