وَمِنَ ٱلَّيۡلِ فَٱسۡجُدۡ لَهُۥ وَسَبِّحۡهُ لَيۡلٗا طَوِيلًا ٢٦
Waminal-layli fasjud lahū wasabbihhu laylan tawīlā
Na usiku msujudie Yeye, na umtakase usiku, wakati mrefu. 26
Maelezo ya chini
26 Na usiku sali magharibi na isha. Na fanya ibada za usiku kwa muda mrefu.