Surat Al-Insan, aya 25

76:25

وَٱذۡكُرِ ٱسۡمَ رَبِّكَ بُكۡرَةٗ وَأَصِيلٗا ٢٥

Wadhkurisma rabbika bukratan wa asīlā

Na likumbuke jina la Mola wako Mlezi asubuhi na jioni; 25

Maelezo ya chini

25 Na dumisha kumkumbuka na kumtaja Mola wako Mlezi, na sali alfajiri mapema, na adhuhuri, na alasiri jioni,