مُّتَّكِـِٔينَ فِيهَا عَلَى ٱلۡأَرَآئِكِۖ لَا يَرَوۡنَ فِيهَا شَمۡسٗا وَلَا زَمۡهَرِيرٗا ١٣
Mmuttaki'īna fīhā 'alal-arā'iki lā yarawna fīhā shamsan walā zamharīrā
Humo wataegemea juu ya viti vya enzi, hawataona humo jua kali wala baridi kali. 13
Maelezo ya chini
13 Wakiegemea huko Peponi juu ya makochi, hawaoni joto la jua, wala shida ya baridi.