Surat Al-Insan, aya 12

76:12

وَجَزَىٰهُم بِمَا صَبَرُواْ جَنَّةٗ وَحَرِيرٗا ١٢

Wajazāhum bimā sabarū jannatan waharīrā

Na atawajazi Bustani za Peponi na maguo ya hariri kwa vile walivyo subiri. 12

Maelezo ya chini

12 Na akawajazi kwa ile subira yao Pepo imeenea furaha, na nguo zake ni hariri laini.