وَإِنَّ ٱلۡفُجَّارَ لَفِي جَحِيمٖ ١٤
Wa innal-fujjāra lafī jahīm
Na hakika waovu bila ya shaka watakuwa Motoni; 14
Maelezo ya chini
14 Na hakika walio iacha amri ya Mwenyezi bila ya shaka watakuwa katika Moto unao unguza,