إِنَّ ٱلۡأَبۡرَارَ لَفِي نَعِيمٖ ١٣
Innal-abrāra lafī na'īm
Hakika wema bila ya shaka watakuwa katika neema, 13
Maelezo ya chini
13 Hakika wale walio ni wa kweli katika Imani yao wapo katika neema kubwa.