Surat Al-Infitar, aya 10

82:10

وَإِنَّ عَلَيۡكُمۡ لَحَٰفِظِينَ ١٠

Wa inna 'alaykum lahāfizīn

Na hakika bila ya shaka wapo walinzi juu yenu, 10

Maelezo ya chini

10 Na hakika wapo juu yenu Malaika walinzi, ambao ni waheshimiwa kwetu,