هَٰٓأَنتُمۡ هَٰٓؤُلَآءِ حَٰجَجۡتُمۡ فِيمَا لَكُم بِهِۦ عِلۡمٞ فَلِمَ تُحَآجُّونَ فِيمَا لَيۡسَ لَكُم بِهِۦ عِلۡمٞۚ وَٱللَّهُ يَعۡلَمُ وَأَنتُمۡ لَا تَعۡلَمُونَ ٦٦
Hā'antum hā'ulā'i hājajtum fīmā lakum bihī 'ilmun falima tuhājjūna fīmā laysa lakum bihī 'ilmun wallāhu ya'lamu wa antum lā ta'lamūn
Angalieni! Nyinyi mlibishana katika yale mliyo yajua. Mbona sasa mnabishana katika yale msiyo yajua? Na Mwenyezi Mungu ndiye ajuaye, na nyinyi hamjui. 66
Maelezo ya chini
66 Watu nyinyi mlikuwa mkijadili mambo yalio wakhusu Musa na Isa mnayo yajua kama mnavyo dai wenyewe. Imekuwaje basi hivi sasa kudai kuwa Ibrahim alikuwa Yahudi au Mkristo - jambo ambalo nyinyi hamlijui! Na Mwenyezi Mungu ndiye mwenye kujua hakika ya hayo mnayo gombania, na nyinyi hamjui kitu.