Surat Al-Hijr, aya 91

15:91

ٱلَّذِينَ جَعَلُواْ ٱلۡقُرۡءَانَ عِضِينَ ٩١

Alladhīna ja'alul-qur'āna 'idīn

Ambao wakaifanya Qur'ani vipande vipande. 91

Maelezo ya chini

91 Hao waliifanya Qur'ani vipande mbali mbali, nayo hali kuwa haikubali kugawika kwa umuujiza wake na ukweli wake.