Surat Al-Hijr, aya 92

15:92

فَوَرَبِّكَ لَنَسۡـَٔلَنَّهُمۡ أَجۡمَعِينَ ٩٢

Fawarabbika lanas'alannahum ajma'īn

Basi Naapa kwa Mola wako Mlezi! Tutawahoji wote. 92

Maelezo ya chini

92 Ikiwa hiyo hali yao, basi Wallahi kwa Aliye kuumba akakulinda na akakulea, hapana shaka tutawahisabu wote Siku ya Kiyama,