كَمَآ أَنزَلۡنَا عَلَى ٱلۡمُقۡتَسِمِينَ ٩٠
Kamā anzalnā 'alal-muqtasimīn
Kama hivyo tuliwateremshia walio gawa, 90
Maelezo ya chini
90 Haya ni kama maonyo ya walio igawanya Qur'ani wakaifanya ati ni mashairi, na ukohani, na hadithi za kale na mengineyo. Nao wasiiamini juu ya kusimama hoja juu yao.