Surat Al-Hijr, aya 67

15:67

وَجَآءَ أَهۡلُ ٱلۡمَدِينَةِ يَسۡتَبۡشِرُونَ ٦٧

Wajā'a ahlul-madīnati yastabshirūn

Na wakaja watu wa mji ule nao furahani. 67

Maelezo ya chini

67 Asubuhi kulipo pambazuka waliwaona Malaika kwa sura ya binaadamu wazuri. Wao wale wakawafurahia, wakaja ili wafanye nao vitendo vyao viovu, vya kuwaingilia wanaume.