Surat Al-Hijr, aya 68

15:68

قَالَ إِنَّ هَٰٓؤُلَآءِ ضَيۡفِي فَلَا تَفۡضَحُونِ ٦٨

Qāla inna hā'ulā'i dayfī falā tafdahūn

Akasema: (Luut'i) Hakika hawa wageni wangu, basi msinifedheheshe. 68

Maelezo ya chini

68 Luut'i akaogopa wasije wakatenda vitendo vyao viovu. Akasema: Hawa ni wageni wangu, basi msinifedheheshe kwa vitendo vyenu vibaya.