Surat Al-Haqqah, aya 52

69:52

فَسَبِّحۡ بِٱسۡمِ رَبِّكَ ٱلۡعَظِيمِ ٥٢

Fasabbih bismi rabbikal-'azīm

Basi litakase jina la Mola wako Mlezi Mtukufu. 52

Maelezo ya chini

52 Basi mtakase Mola wako Mlezi, na dumisha kudhukuru jina lake.