وَإِنَّهُۥ لَحَقُّ ٱلۡيَقِينِ ٥١
Wa innahū lahaqqul-yaqīn
Na hakika hii bila ya shaka ni haki ya yakini. 51
Maelezo ya chini
51 Na hakika Qur'ani bila ya shaka ni Haki iliyo thibiti, isiyo na shaka yoyote.