Surat Al-Haqqah, aya 50

69:50

وَإِنَّهُۥ لَحَسۡرَةٌ عَلَى ٱلۡكَٰفِرِينَ ٥٠

Wa innahū lahasratun 'alal-kāfirīn

Na hakika bila ya shaka itakuwa ni majuto kwa wanao kataa. 50

Maelezo ya chini

50 Na kwamba hakika hiyo bila ya shaka ni sababu ya majuto ya wanao ikataa, wakati watapo iona adhabu yao, na neema za wenye kusadiki.