Surat Al-Haqqah, aya 42

69:42

وَلَا بِقَوۡلِ كَاهِنٖۚ قَلِيلٗا مَّا تَذَكَّرُونَ ٤٢

Walā biqawli kāhinin qalīlam mā tadhakkarūn

Wala si kauli ya kuhani. Ni machache mnayo yakumbuka. 42

Maelezo ya chini

42 Wala Qur'ani haisemi kwa maneno ya kumunyia munyia kama wanenavyo makuhani mlio wazoea. Ni uchache mno kukumbuka kwenu na kuzingatia khitilafu zilioko baina ya Qur'ani na maneno ya makuhani.