Surat Al-Haqqah, aya 43

69:43

تَنزِيلٞ مِّن رَّبِّ ٱلۡعَٰلَمِينَ ٤٣

Tanzīlum mir rabbil-'ālamīn

Ni uteremsho utokao kwa Mola Mlezi wa walimwengu wote. 43

Maelezo ya chini

43 Hii ni uteremsho unao toka kwa Mwenye kuwaangalia walimwengu wote kwa kuwaumba na kuwalea.