وَمَا هُوَ بِقَوۡلِ شَاعِرٖۚ قَلِيلٗا مَّا تُؤۡمِنُونَ ٤١
Wamā huwa biqawli shā'irin qalīlam mā tu'minūn
Wala si kauli ya mtunga mashairi. Ni machache sana mnayo yaamini. 41
Maelezo ya chini
41 Wala Qur'ani si maneno ya mtunga mashairi kama mnavyo dai. Ama nyinyi ni chache mno imani yenu ya kuwa Qur'ani inatoka kwa Mwenyezi Mungu.