إِنَّهُۥ لَقَوۡلُ رَسُولٖ كَرِيمٖ ٤٠
Innahū laqawlu rasūlin karīm
Kwa hakika hii ni kauli iliyo letwa na Mjumbe mwenye hishima. 40
Maelezo ya chini
40 Kwamba hakika Qur'ani bila ya shaka inatoka kwa Mwenyezi Mungu kwa ulimi wa Mjumbe mwenye cheo cha juu.