وَمَا لَا تُبۡصِرُونَ ٣٩
Wamā lā tubsirūn
Na msivyo viona, 39
Maelezo ya chini
39 Basi naapa kwa mnavyo viona katika vinavyo onekana, na msivyo viona katika ulimwengu wa ghaibu,
وَمَا لَا تُبۡصِرُونَ ٣٩
Wamā lā tubsirūn
Na msivyo viona, 39
39 Basi naapa kwa mnavyo viona katika vinavyo onekana, na msivyo viona katika ulimwengu wa ghaibu,