وَمَآ أَرۡسَلۡنَٰكَ إِلَّا مُبَشِّرٗا وَنَذِيرٗا ٥٦
Wamā arsalnāka illā mubasshiran wanadhīrā
Nasi hatukukutuma ila kuwa ni Mbashiri na Mwonyaji. 56
Maelezo ya chini
56 Na ewe Nabii! Huna jukumu ila kufikisha hayo ulio tumwa basi, na kuwabashiria Pepo Waumini, na kuwakhofisha makafiri kwa haya watayo yakuta. Baada ya hayo huna jengine unalo takiwa.