Surat Al-Buruj, aya 3

85:3

وَشَاهِدٖ وَمَشۡهُودٖ ٣

Washāhidin wamashhūd

Na kwa shahidi na kinacho shuhudiwa! 3

Maelezo ya chini

3 Na kwa viumbe watao hudhuria Siku hiyo wakaona vitisho na ajabu zitakazo kuwepo,