Surat Al-Buruj, aya 2

85:2

وَٱلۡيَوۡمِ ٱلۡمَوۡعُودِ ٢

Wal-yawmil-maw'ūd

Na kwa siku iliyo ahidiwa! 2

Maelezo ya chini

2 Na kwa Siku iliyo ahidiwa kuwa ndiyo Siku ya Hisabu na Malipo,