Surat Al-Buruj, aya 13

85:13

إِنَّهُۥ هُوَ يُبۡدِئُ وَيُعِيدُ ١٣

Innahū huwa yubdi'u wayu'īd

Yeye ndiye anaye anzisha na ndiye anaye rejeza tena, 13

Maelezo ya chini

13 Ni Yeye peke yake ndiye Mwenye kuanza kuumba, na kisha ni Yeye anaye rejeza tena,