إِنَّ بَطۡشَ رَبِّكَ لَشَدِيدٌ ١٢
Inna batsha rabbika lashadīd
Hakika kutesa kwa Mola wako Mlezi ni kukali. 12
Maelezo ya chini
12 Hakika mshiko wa Mola wako Mlezi kuwashika majabari umefika ukomo kwa ukali wake