وَهُوَ ٱلۡغَفُورُ ٱلۡوَدُودُ ١٤
Wahuwal-ghafūrul-wadūd
Naye ni Mwenye kusamehe, Mwenye mapenzi, 14
Maelezo ya chini
14 Na Yeye ni Mwingi wa msamaha kwa mwenye kutubu na akarejea, na Mwingi wa mapenzi kwa mwenye kumpenda na akamt'ii.