Surat Al-Balad, aya 16

90:16

أَوۡ مِسۡكِينٗا ذَا مَتۡرَبَةٖ ١٦

Aw miskīnan dhā matrabah

Au masikini aliye vumbini. 16

Maelezo ya chini

16 Au masikini mwingi wa haja na kufakirika.