Surat Al-A'raf, aya 113

7:113

وَجَآءَ ٱلسَّحَرَةُ فِرۡعَوۡنَ قَالُوٓاْ إِنَّ لَنَا لَأَجۡرًا إِن كُنَّا نَحۡنُ ٱلۡغَٰلِبِينَ ١١٣

Wajā'as-saharatu fir'awna qālū inna lanā la ajran in kunnā nahnul-ghālibīn

Wakaja wachawi kwa Firauni, wakasema: Hakika tutapata ujira ikiwa tutashinda. 113

Maelezo ya chini

113 Basi wakaja kwa Firauni wachawi walio kusanywa na askari wake. Nao wakasema: Hapana shaka nasi tutapata malipo makubwa yanayo lingana na hili linalo takikana kwetu, ikiwa sisi tutamshinda Musa.