Surat Al-A'raf, aya 114

7:114

قَالَ نَعَمۡ وَإِنَّكُمۡ لَمِنَ ٱلۡمُقَرَّبِينَ ١١٤

Qāla na'am wa innakum laminal-muqarrabīn

Akasema: Naam! Nanyi bila ya shaka mtakuwa katika wa karibu nami. 114

Maelezo ya chini

114 Haraka haraka Firauni akawajibu kwa walitakalo: Naam! Hapana shaka mtapata malipo makubwa. Na hapana shaka juu ya hayo nyinyi mtakuwa watu wenye cheo kwangu.