يَأۡتُوكَ بِكُلِّ سَٰحِرٍ عَلِيمٖ ١١٢
Ya'tūka bikulli sāhirin 'alīm
Wakuletee kila mchawi mjuzi. 112
Maelezo ya chini
112 Wakuletee kila mwanachuoni wa ilimu za uchawi. Na wao watakufichulia nini khasa hakika ya aliyo kuja nayo Musa, asije akafitinika yeyote.