وَنَزَعَ يَدَهُۥ فَإِذَا هِيَ بَيۡضَآءُ لِلنَّٰظِرِينَ ١٠٨
Wanaza'a yadahū fa idhā hiya baydā'u lin-nāzirīn
Na akatoa mkono wake, mara ukawa mweupe kwa watazamao. 108
Maelezo ya chini
108 Akautoa mkono wake kutoka mfukoni mwake, na hapo hapo ukawa mweupe safi kabisa ukimeremeta katika macho ya wanao angalia!