Surat Al-A'raf, aya 107

7:107

فَأَلۡقَىٰ عَصَاهُ فَإِذَا هِيَ ثُعۡبَانٞ مُّبِينٞ ١٠٧

Fa alqā 'asāhu fa idhā hiya thu'bānum mubīn

Basi akaitupa fimbo yake, na mara ikawa nyoka dhaahiri. 107

Maelezo ya chini

107 Kiasi ya Musa kuitupa fimbo aliyo kuwa nayo mkononi mwake wa kulia mbele ya Firauni, mara hiyo fimbo ikawa nyoka khasa dhaahiri, anakwenda mbio huku na huku, kwa nguvu zinazo onyesha kuwa ana uhai timamu.