وَحَرَٰمٌ عَلَىٰ قَرۡيَةٍ أَهۡلَكۡنَٰهَآ أَنَّهُمۡ لَا يَرۡجِعُونَ ٩٥
Waharāmun 'alā qaryatin ahlaknāhā annahum lā yarji'ūn
Na haiwi kwa wana-mji tulio uangamiza, ya kwamba hawatarejea, 95
Maelezo ya chini
95 Na haitakuwa kwa watu wa mji tulio uteketeza kwa sababu ya dhulma yao kwamba hawatarejea kwetu Siku ya Kiyama, bali hapana budi kuwa watarejea na tutawahisabia vitendo vyao viovu.