حَتَّىٰٓ إِذَا فُتِحَتۡ يَأۡجُوجُ وَمَأۡجُوجُ وَهُم مِّن كُلِّ حَدَبٖ يَنسِلُونَ ٩٦
Hattā idhā futihat ya'jūju wama'jūju wahum min kulli hadabin yansilūn
Mpaka watapo funguliwa Juju na Maajuju wakawa wanateremka kutoka kila mlima; 96
Maelezo ya chini
96 Mpaka itapo funguliwa milango ya shari na ufisadi, wakaingia wana wa Juju na Maajuju wakikimbizana kuteremka milimani na majiani kwa kufanya vitendo vya fujo na rabsha.