مَآ ءَامَنَتۡ قَبۡلَهُم مِّن قَرۡيَةٍ أَهۡلَكۡنَٰهَآۖ أَفَهُمۡ يُؤۡمِنُونَ ٦
Mā āmanat qablahum min qaryatin ahlaknāhā afahum yu'minūn
Hawakuamini kabla yao watu wa mji tulio uangamiza. Basi, je, wataamini hawa? 6
Maelezo ya chini
6 Hizo kaumu tulizo ziangamiza baada ya kukadhibisha hiyo miujiza hazikuamini. Basi, je! Watakuja amini hawa yatapo wajia hayo wayatakayo?