Surat Al-Anbiya, aya 100

21:100

لَهُمۡ فِيهَا زَفِيرٞ وَهُمۡ فِيهَا لَا يَسۡمَعُونَ ١٠٠

Lahum fīhā zafīrun wahum fīhā lā yasma'ūn

Lao wao humo ni kupiga mayowe, na wala hawatasikia (jenginelo). 100

Maelezo ya chini

100 Humo watatoa pumzi zitokazo vifuani kwa sauti kama ya mwenye kukabwa, kwa dhiki watayo pata, na hawatasikia la kuwafurahisha.