Surat Al-Anbiya, aya 101

21:101

إِنَّ ٱلَّذِينَ سَبَقَتۡ لَهُم مِّنَّا ٱلۡحُسۡنَىٰٓ أُوْلَٰٓئِكَ عَنۡهَا مُبۡعَدُونَ ١٠١

Innal-ladhīna sabaqat lahum minnal-husnā ulā'ika 'anhā mub'adūn

Ama wale ambao wema wetu umewatangulia, hao watatenganishwa na hayo. 101

Maelezo ya chini

101 Hakika wale tulio wakubalia kwa kufuata kwao Haki na vitendo vya kheri, na tukawaahidi malipo mema, hao watawekwa mbali kabisa na Jahannamu na adhabu yake.