Surat Al-Anbiya, aya 99

21:99

لَوۡ كَانَ هَٰٓؤُلَآءِ ءَالِهَةٗ مَّا وَرَدُوهَاۖ وَكُلّٞ فِيهَا خَٰلِدُونَ ٩٩

Law kāna hā'ulā'i ālihatam mā waradūhā wakullun fīhā khālidūn

Lau kuwa hawa ni miungu, wasingeli ingia. Na wote watadumu humo. 99

Maelezo ya chini

99 Lau kama hawa mlio waabudu badala ya Mwenyezi Mungu ni miungu inayo stahiki kuabudiwa, wasingeli ingia nanyi humo. Na nyote, wenye kuabudu na kuabudiwa, mtabaki Motoni, wala hamtatoka.