Surat Al-'Adiyat, aya 5

100:5

فَوَسَطۡنَ بِهِۦ جَمۡعًا ٥

Fawasatna bihī jam'ā

Na wakijitoma kati ya kundi, 5

Maelezo ya chini

5 Ikawa vumbi limewagubika maadui hata wakaingiwa kiwewe na kufazaika.