Surat Adh-Dhariyat, aya 54

51:54

فَتَوَلَّ عَنۡهُمۡ فَمَآ أَنتَ بِمَلُومٖ ٥٤

Fatawalla 'anhum famā anta bimalūm

Basi waachilie mbali, nawe hulaumiwi. 54

Maelezo ya chini

54 Basi wapuuzilie mbali hawa wenye inda! Wewe hulaumiki usipo wajibu kitu.