Surat Adh-Dhariyat, aya 55

51:55

وَذَكِّرۡ فَإِنَّ ٱلذِّكۡرَىٰ تَنفَعُ ٱلۡمُؤۡمِنِينَ ٥٥

Wadhakkir fa innadh-dhikrā tanfa'ul-mu'minīn

Na kumbusha, kwani ukumbusho huwafaa Waumini. 55

Maelezo ya chini

55 Wewe dumisha kukumbusha, kwani ukumbusho huwazidisha Waumini kufumbua macho na kuwa na nguvu za yakini.