Surat Adh-Dhariyat, aya 53

51:53

أَتَوَاصَوۡاْ بِهِۦۚ بَلۡ هُمۡ قَوۡمٞ طَاغُونَ ٥٣

Atawāsaw bihī bal hum qawmun tāghūn

Je! Wameambizana kwa haya? Bali hawa ni watu waasi. 53

Maelezo ya chini

53 Je! Mmeusiana, mmeambizana, nyinyi kwa nyinyi kusema hivyo ndio maana mnalirejea hilo kwa hilo? Bali hao ni watu walio pindukia mipaka, ndio wakawafikiana katika kuwashutumu Mitume!