Surat Adh-Dhariyat, aya 49

51:49

وَمِن كُلِّ شَيۡءٍ خَلَقۡنَا زَوۡجَيۡنِ لَعَلَّكُمۡ تَذَكَّرُونَ ٤٩

Wamin kulli shay'in khalaqnā zawjayni la'allakum tadhakkarūn

Na katika kila kitu tumeumba kwa jozi ili mzingatie. 49

Maelezo ya chini

49 Na kila kitu tumekiumba namna mbili, yaani kwa jozi, ili mpate kukumbuka muuamini uwezo wetu.