Surat Adh-Dhariyat, aya 50

51:50

فَفِرُّوٓاْ إِلَى ٱللَّهِۖ إِنِّي لَكُم مِّنۡهُ نَذِيرٞ مُّبِينٞ ٥٠

Fafirrū ilallāhi innī lakum minhu nadhīrum mubīn

Basi kimbilieni kwa Mwenyezi Mungu, hakika mimi ni mwonyaji kwenu wa kubainisha nitokae kwake. 50

Maelezo ya chini

50 Basi fanyeni haraka kuendea kwenye ut'iifu wa Mwenyezi Mungu.