Surat Adh-Dhariyat, aya 45

51:45

فَمَا ٱسۡتَطَٰعُواْ مِن قِيَامٖ وَمَا كَانُواْ مُنتَصِرِينَ ٤٥

Famastatā'ū min qiyāmin wamā kānū muntasirīn

Basi hawakuweza kusimama wala hawakuwa wenye kujitetea. 45

Maelezo ya chini

45 Basi hawakuweza kuinuka. Wala hawakuweza kujipigania kuijikinga na adhabu.